Название: Nukuu Sabini Zenye Msukumo Ma Motisha
Автор: Wael El-Manzalawy
Издательство: Tektime S.r.l.s.
Жанр: Личностный рост
isbn: 9788835423782
isbn: 0
”Kutofaulu ni uzoefu. Anayeweza kufaidika na uzoefu ndiye atakayekuwa mshindi.” – Wael El-Manzalawy. Nukuu moja laweza badilisha maisha yako. Maisha yako haijasimama palepale. Unaweza kubadilisha maisha yako. Kitabu hiki cha mtandaoni inahusisha nukuu sabini zenye msukumo na motisha ambazo ni misemo ya wafikiriaji wa kimataifa